Download Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni APK File for Android

Download Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni 1.9.2 for Android

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni

In News & Magazines by Developer
Last Updated:

App Description

Kupitia App HII ya Habari Za Leo Hiiutaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.
1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;
-BBC SWAHILI
-CRI SWAHILI
-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

App hii inamwezesha mtumiaji kutoa maoni yake na mitazamo yake juu ya kinachoendelea ulimwenguni.Usikose habari katika magazeti ya:
-Mwananchi
-Raia Mwema
-Rai
-Mwanaspoti
-Mtanzania
-Mwanahalisi na mengineyo......
Kupitia hapa utaweza kujua habari na matukio mbali mbali yanayojiri kila siku ulimwenguni pamoja na makala mbali mbali za kijamii lakini pia michezo.
Habari Za Leo Hii ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!

Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.


App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Habari Za Leo Hii App.

*****************************************************

Habari Za Leo Hii is an app which corrects news from top sources in Tanzania and lets you read only the news that matter to you. For example if you just want to read news on sports and entertainment, the app will give you news on sports and entertainment only! If you like politics then it will give you news about politics. Also if you want read everything then it will give you everything

With all that, the app can tell you which topics are trending in Tanzania and which news are read most within a day.

Pia programu ina habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Program hii inasaidia jamii kuelewa kwa undani kuhusu Teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

.App hii ina mambo mengi ya kipekee kama:
+Badili mwonekano wake kati ya nyeupe na rangi nyeusi
+Read news Offline and online
+Tafuta kitu chochote unachotaka na uletewe habari zote zinazohusu kitu hicho
+Chagua mda unaotaka kuletewa habari mpya
+Ongeza website uzitakazo
+Futa habari usizozitaka
+Tunza habari unazozitaka
it DOES NOT synchronize with any online feed reader, if you need synchronization this app is not for you.

Features:
- easily add new feeds thanks to the Google News or search feature (you can also subscribe to a new one from the browser via the share feature)
- light and dark themes
- offline reading including images
- import/export the feed list from OPML
- retrieve the full text of the feed when the content is truncated
- star your favorite entries
- search into your articles
- filter your feed by keywords or regular expressions
- custom widgets

You are downloading Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni 1.9.2 APK file for Android smartphones/tablets which requires Android 7.0 and up. Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni is one of the best free News & Magazines apps, you should try it.

To start downloading the APK file of Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni 1.9.2 make sure you choose one of the server locations below. After downloading the APK file of Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni move the downloaded file to your SD card or your Android smartphone's internal memory and then use any Android file manager you prefer to browse & install it.

But make sure you have enabled the third-party app installation to run APK files in Android.

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni is one of the best free News & Magazines apps & you are about to download very latest version of Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni 1.9.2. So, to start downloading the APK file of Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni on your Android smartphone, we provide direct download link below for Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni 1.9.2.

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni Android apps is the property & trademark from NDIFUUST MOBILE and all rights reserved by NDIFUUST MOBILE. You have provided direct downloadable link below to download the original free apk download package.

Please be aware that softstribe.com only share the original and free apk installer package for Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni 1.9.2 without any modifications or any alterations within the .apk file package for illegal activities.

If you wish to run Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni APK for PC, make sure you read the article.

All the apps & games are for home or personal use only. If any apk files download infringes your copyright, please contact us. Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni is the property and trademark from the developer NDIFUUST MOBILE.

Advertisement

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni file information

File name: com.ndifuust.ulimwengunileo_1.9.2_22.apk
Version: 1.9.2
Uploaded: October 13, 2020
File size: 3.80 MBs
Minimum Android version: Android 7.0 and up
MD5: 75fafa859499ef4903eb6e4f0a13efac

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni APK 1.9.2:

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni APK v1.9.2 (479)Download APK from secure server >> File size: 3.80 MBs

Advertisement:

Related Apps